Mwanamuziki wa Bongo fleva, Cyrill Kamikaze amefunguka kuhusu tuhuma zinazomkabili za kuachia picha utupu zinazomuonyesha maungo yake ya ndani mpenzi wake Feza Kessy.
Wiki chache zilizopita mashabiki walimjia juu staa wa Bongo fleva Kamikaze baada ya kuweka picha ya mpenzi Feza kwenye mitandao ya kijamii. Katika ukurasa wake wa Instagram Cyrill aliweka picha ya Feza akiwa kaachia maziwa yake kitendo kilicho wakasirisha watu wengi huku wakimtuhumu kwa kumdhalilisha Feza.






Post a Comment