KENYA: Raila Odinga atangaza kutogombea tena nafasi ya Urais baada ya
kubwagwa na Uhuru Kenyatta katika Uchaguzi uliofanyika 8 Agosti mwaka
huu. Siku ya Ijumaa Tume ya Uchaguzi chini ya Mwenyekiti, Wafula Chebukati ilimtangaza Uhuru Kenyatta kuwa mshindi wa kiti cha urais baada ya kumshinda Raila Amolo Odinga kwa tofauti ya kura takriban milioni 1.4.
Hata hivyo Raila hakukubaliana na matokeo hayo na kwenda mbali zaidi kwa kuwataka Wafuasi wake kutoenda kazini siku ya leo ili kupinga matokeo hayo.






Post a Comment