Hit maker wa Seduce Me, Alikiba amewashukuru mashabiki kwa kuusupport wimbo wake mpya ‘Seduce Me’ huku akiahidi kuachia wimbo mpya October 15 mwaka huu kama video ya wimbo ‘Seduce Me’ itafikisha views milioni 10 ndani ya kipindi hicho.ALI KIBA KUTOA ZAWADI NONO KWA MASHABIKI WAKE,CHECK VIDEO AKIFUNGUKA LIVE
Hit maker wa Seduce Me, Alikiba amewashukuru mashabiki kwa kuusupport wimbo wake mpya ‘Seduce Me’ huku akiahidi kuachia wimbo mpya October 15 mwaka huu kama video ya wimbo ‘Seduce Me’ itafikisha views milioni 10 ndani ya kipindi hicho.






Post a Comment