KENYA: Wanaume wawili wanaotuhumiwa kuiba gari wamekutwa wakicheza muziki wakiwa uchi huku wakilizunguka gari hilo.
- Aidha katika hali ya kushangaza mara baada ya mmiliki wa gari hilo kufika eneo la tukio watu hao waliondoka. Tukio hilo limehusishwa na imani za kishirikina.






Post a Comment