
Mwanamuziki wa kizazi kipya DASIBU ABDUL anaye fahamika kwa jina la DIAMONDPLATNUMZ ameonekena kuwa na mahusiano ya ukalibu na msani wa rapper kutoka marekani RICK ROSS .
Rapper maarufu wa marekani kupitia account yake ya instagram Rick Ross @RICKFOREVER ameonekana kuwa na ukalibu ulio weza kuwaacha watu midomo wazi ambapo mwanamuziki wa Tanzania marufu kama DIAMOND kuonekana kwenye instagram yake akimnadi na kinywaji cha @OFFICIALBELAIRE
Rapper maarufu wa Marekani Rick Ross @richforever amempost mwimbaji wa Tanzania @DiamondPlatnumz kwenye Instagram yake akimnadi na kinywaji cha @officialbelaire .






Post a Comment