
Diamond Platnumz na Wema Sepetu bado ni maBest Friend na kila wakati hupeana ushirikiano kwenye mambo tofauti wanayofanya.
Jana ikiwa ni Birthday ta Wema Sepetu, Diamond Platnumz amempost akiwa na Idris Sultan na Kuandika “Happy birthday Madam….🎂”

Naye Mobetto akamua kufuata nyayo za mzazi mwenzake Diamondi na kumposti wema huku akisindikiza kwa ujumbe mzuri.
Mashabiki wa Hamisa Mobetto wamemsifia Model huyu baada ya Kumpost Wema Sepetu kwenye Birthday Yake jana.
Hamisa amepata Sifa hizi kutokana na Imani iliyojengeka hivi karibuni baada ya kupata mtoto wa Diamond Platnumz kuwa Urafiki wake na Ex wa Staa huyu ‘Wema Sepetu’ Umekufa.
Fahamu kuwa mahusiano ya Diamond na Wema Sepetu yalikuwa miongoni mwa mahusiano maarufu zaidi Afrika ya mastaa wawili.







Post a Comment