Dk. Mengi ni Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya IPP Limited, inayomiliki vyombo mbalimbali vya habari, ikiwemo vituo vya runinga vya ITV, EATV, Capital, vituo vya redio; Capital radio, Radio One stereo, East Africa radio na magazeti ya Nipashe, The Guardian na vinginevyo.
Katika andiko lake, kupitia ukurasa wa Twitter Makamba amemwambia Dk. Mengi kuwa, “Kipindi cha kampeni, vyombo vyako vya habari vilikuwa upande mwingine, na mpaka sasa, nimefungiwa katika vyombo hivyo kutokana na kazi niliyofanya wakati wa kampeni.”
Ujumbe wa Makamba kwa Dk. Mengi, umekuja masaa machache baada ya mfanyabiashara huyo, kuweka mtandaoni moja ya hotuba za Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na kuandika, “Hayati Nyerere alitabiri ujio wa Rais (John) Magufuli. Naamini Rais Magufuli hawezi kugeuka jiwe.”
Follow
January Makamba ✔@JMakamba
Kweli. But during campaigns your media empire was on the other side and up to this moment I'm banned from IPP Media because of campaign work
Kweli. But during campaigns your media empire was on the other side and up to this moment I'm banned from IPP Media because of campaign work
https://twitter.com/regmengi/status/904342786375393280 …
12:35 AM - Sep 4, 2017
136136 Replies
112112 Retweets
383383 likes
Twitter Ads info and privacy
Mpaka sasa, Dk. Mengi hajajibu maneno hayo ya Makamba. Ingawa baadhi ya wachangiaji katika mtandao huo, wameshangazwa na madai ya Makamba kuwa, vyombo vya habari vya IPP vilikuwa vikiegemea upande mmoja katika kampeni za mwaka 2015.
“IPP hawakuwa na upande katika na kuripoti mambo kama yalivyo bila kupendelea. Kitu ambacho wananchi tunapenda,” amejibu Spaita S. Ndelwa, mmoja kati ya wachangiaji.

YouTube @YouTube
Follow
Reginald Mengi ✔@regmengi
Hayati Nyerere alitabiri ujio wa Rais Magufuli. Naamini Rais Magufuli hawezi kugeuka jiwe @MagufuliJPhttps://www.youtube.com/watch?v=nN_EfyytvAg&sns=tw … via @youtube
4:58 PM - Sep 3, 2017
149149 Replies
112112 Retweets
764764 likes
Twitter Ads info and privacy
Huku mtoa maoni mwingine mwenye jina la Ednxie akisema, “TBC1, TBC2, Star TV na ZBC walikuwa upande wenu (CCM), ila IPP kupitia ITV walikuwa hawana upande.”
Itakumbukwa kuwa January Makamba, ambaye pia kwa sasa ni Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, mkoani Tanga ndiye alikuwa msemaji wa timu ya kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika uchaguzi wa mwaka 2015.
12:35 AM - Sep 4, 2017
136136 Replies
112112 Retweets
383383 likes
Twitter Ads info and privacy
Mpaka sasa, Dk. Mengi hajajibu maneno hayo ya Makamba. Ingawa baadhi ya wachangiaji katika mtandao huo, wameshangazwa na madai ya Makamba kuwa, vyombo vya habari vya IPP vilikuwa vikiegemea upande mmoja katika kampeni za mwaka 2015.
“IPP hawakuwa na upande katika na kuripoti mambo kama yalivyo bila kupendelea. Kitu ambacho wananchi tunapenda,” amejibu Spaita S. Ndelwa, mmoja kati ya wachangiaji.
YouTube @YouTubeFollow
Reginald Mengi ✔@regmengiHayati Nyerere alitabiri ujio wa Rais Magufuli. Naamini Rais Magufuli hawezi kugeuka jiwe @MagufuliJPhttps://www.youtube.com/watch?v=nN_EfyytvAg&sns=tw … via @youtube

Post a Comment