Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mwanadada kendall Jenner kutoka katika familia maarufu nchini Marekani ameonekana kufanya vizuri katika show ya fashion ambayo imefanyika huko Milan,Mrembo huyo ambae ameonekana kuwa konga nyoyo za mashabiki kutokana na baadhi ya mavazi yake aliyovaa na kupita nayo kwenye stage.
Akiwa anafanya hayo Mrembo huyo bado yuko katika hali ngumu baada ya kuwa na kesi ya matumizi ya picha ya Tupac katika T-shirt ambayo alionekana kuivaa wakati wa kumbukumbu ya kifo cha Tupac shakur
HIVYO NDIVYO ALIVYO TUPIA KENDALL JENNER

D

Post a Comment

 
Top