Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Kundi la Linking Park limejipanga kupiga bonge moja la Show kwa ajili ya kumenzi mwenzao, Chester Bennington ambae mapema mwaka huu mwezi July mwenzao huyo alijinyonga,Sasa wanakikundi wenzaoa ambao bado wapo pamoja wameona wachukue nafasi ya kufanaya Tamasha ambapo litakuwa rasmi kwa ajili ya kumkumbuka mwanakikundi mwenzao.




Tamasha hilo linatajwa kuwa ndio litakuwa mara ya kwanza kundi hilo kuperforme wakiwa wachache tangu kiongozi wao bennington kupoteza maisha na linategemewa kufanyika Octoba 27 mwaka huu huko Hollywood Bowl,Kupitia ukurasa wao wa Instagram wali post taarifa hiyo kwa mashabiki zao kwa ajili ya kuweza kupata fedha ya kuchangia kumbukumbu ya One More light ya mwenzao huyo.

Ikumbukwe kwamba kundi hilo linafanya mziki wa pop na ni maarufu sana nchini marekani kwa uwezo wao kutumia vyombo vya music na kufanya show kali wakiwa kwenye jukwaa


D

Post a Comment

 
Top