Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Jarida la Forbes limetoa list ya wanamuziki wa HIPHOP wanao ongoza kwa kulipwa pesa nyingi duniani,huku kukiwa na maingizo mapya katika list hiyo ambayo imewashangaza wengi.
Cha kushangaza na kikubwa katika list hiyo ni mkongwe na rapper Jay Z ameshushwa na Drake mpaka nafasi ya tatu huku kukiwa na maingizo mapya wakiwemo msanii Chance the rapper,Dj Khaled,pitbul,kendrick lamar na mkali wiz khalifa,katika list hiyo Birdmen ameshika nafasi ya 12 huku Nick Minaj akiwa katika nafasi ya 15 akiwa mwanamke pekee aliyemo katika list hiyo ya wanamuziki 20 wa HipHop wanaongoza kwa kuwa na fedha nyingi.

LIST KAMILI




#1 Diddy, $130M
more




#2 Drake, $94M
more




#3 Jay-Z, $42M
more




#4 Dr. Dre, $34.5 M
more




#5 Chance the Rapper, $32M
more




#6 Kendrick Lamar, $30M
more




#7 Wiz Khalifa, $28M
more




#8 Pitbull, $27M
more




#9 DJ Khaled, $24M
more




#10 Future, $23M
more






#11 Kanye West, $22M
more




#12 Birdman, $20M
more




#13 Swizz Beatz, $17M
more




#14 Snoop Dogg, $16.5M
more




#15 Nicki Minaj, $16M
more




#16 Lil Wayne, $15.5M
more




#17 J. Cole, $14M
more




#18 Macklemore & Ryan Lewis, $11.5M
more




#19 Rick Ross, $11.5M
more


#20 Lil Yachty, $11M
more

Post a Comment

 
Top