Man United walipata magoli matatu kipindi cha kwanza yakifungwa na Lukaku dakika ya 4 na 26 huku mshambuliaji hatari Antony Martial akifunga kwa njia ya Penalti dakika ya 18 baada ya Mkhitaryan kuangushwa ndani ya boski hadi mapumziko United walikuwa mbele kwa 3-0.
Kipindi cha pili timu zote zilifanya mabadiliko hata hivyo vijana wa Mourinho walipata goli dakika ya 57 lilifungwa na Mkhitaryan hata hivyo CSKA Moscow watajilaumu wenyewe kwani waliweza kupata nafasi nyingi na kuweza kupata bao la kufutia machozi dakika ya 90 likifungwa na Kuchaev kwa shuti kali lilimshinda mlinda mlango wa Man United,David De Gea.
CSKA Moscow (3-5-2): Akinfeev 6; Vasin 5, V Berezutsky 4.5, Ignashevich 5; Fernandes 6, Dzagoev 6.5 (Milanov 72), Wernbloom 5.5, Golovin 7, Schennikov 5.5; Chalov 5 (Zhamaletdinov 67), Vitinho (Kuchaev 90).
Subs not used: Pomazun, A Berezutsky, Nabakin, Natcho.
Goal: Kuchaev 90.
Booked: Wernbloom, Golovin, Vitinho.
Manager: Viktor Goncharenko 6.
Manchester United (3-4-3): De Gea 7; Bailly 6.5, Lindelof 6, Smalling 6; Young 6.5 (Darmian 67), Matic 6.5, Herrera 6, Blind 6; Mkhitaryan 8.5 (Lingard 60), Lukaku 8, Martial 8 (Rashford 72).
Subs not used: Romero, Mata, Tuanzebe, McTominay.
Goals: Lukaku 4 and 26, Martial 18 (pen), Mkhitaryan 57
Booked: None.
Manager: Jose Mourinho 8
Referee: Jonas Eriksson (Sweden)
Man of the Match: Mkhitaryan
Huku nchini Hispania timu ya Chelsea imeendeleza wimbi la ushindi katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa baada ya kuwatandika wenyeji Atletico Madrid magoli 2-1 na kufikisha jumla ya alama sita






Post a Comment