Ni siku chache zimepita tangu Mwimbaji wa Bongofleva kutoka WCB, Rayvanny kurudi kwenye TV kwa kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Unaibiwa’ na kueleza yeye anaimba mambo ambayo yako kwenye jamii na ambayo wasanii wengine hawayaimbi.
“Wimbo huu wa ‘unaibiwa’ mimi mwenyewe nimeupenda na hata moyo wangu umeridhika nao” – Ray Vanny






Post a Comment