Mwimbaji Ommy Dimpoz amezungumza kwenye mara baada ya kushuka kwenye stage ya FIESTA Mwanza na miongoni mwa aliyoyajibia ni pamoja na style yake ya nywele kufananishwa na Diamond, kuitwa Polisi na kuifuta picha akiwa na mama Diamond kwenye Instagram.
OMMY DIMPOZ AFUNGUKA TENA,PICHA YA MAMA YAKE DIAMOND NAYO AIGUSA

Post a Comment