Spika wa Bunge Job Ndugai alisimama Bungeni Dodoma leo September 5, 2017 baada ya kuapishwa Wabunge wapya wa CUF na kuwataka Wabunge kuheshimu kanuni za kisheria hasa waliokuwa wanamtolea maneno ya kebehi.Taratibu zote zilifuatwa kuhusu hawa wabunge kuingia hapa Bungeni na kwa kumalizia niseme kuwa Spika ana nafasi yake, wapo baadhi ya lile kundi walikuwa wakijinadi kuwa Spika huyu dhaifu.Ilipofika kwenye 18 zangu nikasema hapa ndio udhaifu wangu utakapoonekana. Kama una akili yapo maneno ambayo hayana lazima wala umuhimu na mwisho utaumia bure.” – Job Ndugai.
Home
»
»Unlabelled
» SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI ASAYEMA HAYA LEO BAADA YA KUWAAPISHA WABUNGE TEULE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






Post a Comment