Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Tafiti nyingi za kibinadamu zinaonyesha tatizo la kuvunjika kwa ndoa chanzo chake ni pesa. Hasa namna gani unaitumia .Ingawa wengine wanaongeza hapo kuhusiana na mambo mengine mengi kama , kuoa kwa haraka, kutokuwa muaminifu, loss of autonomy ( mke /mume kuona hana mamlaka ),alcohol and drugs, difference in background.

Nilipitia taarifa za america national marriage project about the most likely predictors of divorce na taasisi zingine nikagundua kitu, wote wamekuwa centered around money.

60% ya matatizo ya ndoa ni pesa hasa katika utumiaji ndani ya ndoa , kwa sababu imebainika 92% ya watu iwe she/he lakini hasa hasa wanaume hawaelezi ukweli katika kipato chao kwa wapenzi wao.

Ukiona your lovebunny(mupenzi) anasema maneno haya ” Ninafanya kazi sana lazima nitumie pesa yangu nitakavyo ” , jua umeingia katika Money stalemate , hata kama mnapendana indicators imeshawashwa utaanza kutofautiana na mpenzi wako Mara moja.

Suluhu ya haya ni kuondoa financial inequalities , kwa kufanya haya . 75% ya pesa kila mmoja aweke mezani combination of finances kwa ajili ya matumizi yenu ( households expenses), na 25% iwe discretionary income, mwenye kutaka kufanya ya kwake anaweza akatumia hiyo kama mavazi na luxury items .
Kumbuka imani ya kiroho ina nguvu sana katika ndoa na vile vile kikawaida tuna imani za kawaida kuwa ” how fast you progress financially as a man depends on the type of a woman who is by your side , a good woman is an investment a bad woman is a bill.
Lakini katika haya yote wewe simamia

1 wakorintho 11: 3
” lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanaume ni Kristo , na kichwa cha mwanamke ni mwanamume , na kichwa cha kristo ni Mungu.

Be inspired.

Post a Comment

 
Top