Mrembo Hamisa Mobetto ambaye anadaiwa kuzaa na muimbaji Diamond Platnumz, September 15 2017 ameingia kwenye headlines baada ya kusambaa kwa direct message ambazo zinadaiwa kuwa ametumiwa na Zari ambaye ni mpenzi wa Diamond.Kilichosambaa katika social network ni screenshot za chat za Zari alizomtumia Hamisa Mobetto kupitia mtandao wa instagram akionekana kumuandikia maneno ya ukali.
Home
»
»Unlabelled
» ZARI THE BOSS LADY NA HAMISA MOBETTO TENA,WATUMIANA MESEJI,YAIBUA MASWALI MAZITO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






Post a Comment