Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 
Aliyekuwa mhasibu wa TAKUKURU Godfrey Gugai amejitokeza na kudai hajakimbia nchi na tayari ameshajisalimisha kwenye ofisi za taasisi hiyo.

Pia amesema TAKUKURU imemdhalilisha kwa kutoa taarifa hiyo isiyokuwa na uhakika na kushangazwa na taasisi hiyo kutangaza dau la Shs. milioni 10 wakati ina mahitaji makubwa ya fedha


CHANZO NA JAMII FORUMS 

Post a Comment

 
Top