Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 
Msanii wa muziki Bongo, Mimi Mars amefunguka ishu ya kukopi melody kutoka Vanessa Mdee.

Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Sitamani’,  kuwa si kweli ngoma yake ‘Dedee’ amechukua melody kutoka kwenye ngoma ya Vanessa na Legendury Beatz  ‘Duasi’.
“Sijui labda zinafanana lakini nahisi kila mmoja ana njia yake, unaweza kukuta kitu kidogo tu ukasema hii kama ya wimbo ule lakini hiyo ipo hata kwenye muziki wa nje” amesema Mimi Mars.
 

Post a Comment

 
Top