Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Staa wa Ngoma ya Sina Jambo, Bill Nas.
STAA wa Ngoma ya Sina Jambo, Bill Nas amefungukia shavu alilopata kutoka kwa prodyuza mkubwa wa Afrika Kusini ‘Sauz’, Gemim Major. Akichonga na Showbiz, Bill Nas alisema kwamba, mwaka huu umekuwa wa mafanikio sana kwake tofauti na miaka ya nyuma.


“Nashukuru Mungu nimeanza kukubalika kimataifa, juzikati nilikuwa Coke Studio na kwa sasa nimebahatika kufanya kazi na prodyuza mkubwa kutoka Afrika Kusini, Gemin Major.

Nina imani itanipeleka ‘level’ zingine lakini pia nimefanya kazi na mwanamuziki kutoka Uganda, Sheba, projekti hizo zote zitatoka hivi soon,” alisema Bill Nas

Post a Comment

 
Top