Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 
Haya maneno ya Diamond Platnumz baada ya kusikia hukumu ya Mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ya kifungo cha Miaka Miwili Jela baada ya kukutwa na hatia kwenye kesi ya kumuua bila kukusudia Mwigizaji Steven Kanumba.

Diamond Platnumz ameandika“Mwenyez Mungu ameamua kukupa mtihani huu wewe kwasababu anaamini wewe ni Shujaa na Imara.pia anaamini wewe ndio msichana pekee unaeweza kuuhimili mtihani huu. hivyo Usisononeke, Make him Proud.

Post a Comment

 
Top