Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Hizi ni picha zikiwaonyesha Wazazi wa Mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” wakitoka Mahamani baada ya Mwigizaji huyo kuhukumiwa miaka miwili jela kutokana na kesi iliyokua ikimkabili ya kuua bila kukusudia na kusababisha kifo cha Mwigizaji Steven Kanumba.

Wa kwanza kushoto ni Baba Mzazi wa Lulu na anaeonekana kashikiliwa ndio Mama Mzazi

Post a Comment

 
Top