Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Msanii wa muziki wa R&B Ben Pol amekuwa gumzo mitandaoni kutokana na show yake ndani ya Tamasha la Muziki la Fiesta iliyofanyika Jumamosi iliyopita katika Viwanja vya Leaders Club.

Muimbaji huyo alionekana akiwa amefunga ndoa na muigizaji wa filamu, Tausi na baada ya muda mchache, mchekeshaji Ebitoke ambaye anadaiwa kuwa mpenzi wake wa zamani kuibuka jukwaani hapo na kuliamsha dude mbele ya umati wa watu.
Tukio hilo lilizua msisimko mkubwa kwa mashabiki, ambapo Bongo5 iliamua kufanya jitihada za kuzungumza naye na kueleza A-Z jinsi walivyoiandaa show hiyo na matokea yake kwa mashabiki wa muziki.

Post a Comment

 
Top