RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA JAPAN NCHINI MHE. MASAHARU YOSHIDA IKULU DAR ES SALAAM LEO A+ A- Print Email Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Mhe. Masaharu Yoshida alipokutana na na kufanya mazungumzo naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 22, 2017.
Post a Comment