Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 
DAR: Rais John Pombe Magufuli afika bandarini kuagana na Madakari wa Meli ya Jeshi kutoka China.

-
Asema wagonjwa takribani 10,000 walifika kupata matibabu katika meli hiyo 
-
Aidha, Rais Magufuli amemsifia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa uchapakazi na kuwataka Viongozi wengine wajifunze kwake.

Post a Comment

 
Top