RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akifuatana na mgeni wake Balozi wa Oman Nchini Tanzania Balozi Ali Abdulla Al- Mahruq, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika leo Ikulu Zanzibar alipofika kujitambulisha .
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Indonesia Nchini Tanzania Balozi Rotlan Paradede alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na mgeni wake Balozi wa Indonesia Nchini Tanzania Mhe. Rotlan Paradede , alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ak. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe. Al Abdulla Al-Mahruq alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ak. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe. Al Abdulla Al-Mahruq alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha akiwa na Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar Mhe.Ahmed Humuod Al -Habs leo 24/11/2017.
Picha na Ikulu






Post a Comment