Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Vituko haviishi…. wakati leo Dar es salaam kukiwa na gumzo la “Tajiri Mtata” alienunua nyumba za mnada za BILIONI 3 kumbe hana kitu mfukoni, huko Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Ardhi Wakili feki kaingia kazini.
zinayo EXCLUSIVE INTERVIEW jinsi Wakili huyu feki Jeremiah Ragita alivyoingia Mahakama kuu.

Wakili huyu feki alijitambulisha kwamba anatokea kampuni ya sheria ya Faithful Attorney Advocates na alikuwa akimuwakilisha mlalamikaji Nunu Mhusin Mkwata katika kesi ya ardhi….. hii video hapa chini inayo taarifa kamili.

Post a Comment

 
Top