Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
IMGL4590
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Wabunge wawakilishi wa Jukwaa la kibunge la SADC (SADC Parliamentary Forum) wakiongozwa na Mjumbe wa kamati ya utendaji ya SADCPF, Mheshimiwa Selemani Zedi (wa pili kushoto), Mheshimiwa Jamal Ali (katikati), Mheshimiwa Esther Mmasi (wa pili kulia) na Mheshimiwa Magreth Sitta (kulia) katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma.

IMGL4637
Mjumbe wa kamati ya utendaji ya SADC PF, Mheshimiwa Selemani Zedi (wa pili kushoto) akizungumza pale Wabunge wawakilishi wa Jukwaa la kibunge la SADC (SADC Parliamentary Forum) walipokutana na Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto), Wengine ni Wajumbe wa Jukwaa hilo, Mheshimiwa Jamal Ali (katikati), Mheshimiwa Esther Mmasi (wa pili kulia) na Mheshimiwa Magreth Sitta (kulia).

Post a Comment

 
Top