Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Staa wa muziki kutoka Nigeria Ayodeji Ibrahim Balogun AKA Wizkid ’27’ amethibitisha kupata mtoto wake wa tatu na mpenzi wake ambaye pia ni meneja wake nje ya Nigeria Jada Pollock ’32’.

Ms. Pollock naye aliweka video kwenye mtandao wa SnapChat akiwa na Wizkid wakifurahia kupata mtoto wao wa kwanza wa Kiume.
Mtoto wa WizKid wa tatu amepewa jina ‘Zion Ayo-Balogun’, Ilisemekana awali kuwa Pollack alijifungua wiki chache zilizopita mjini London ili walificha taarifa hizi.
WizKid tayari ana watoto wawili wa kiume na Wanawake tofauti, Boluwatife ambaye mama yake ni Shola Ogududu, na King Ayo ambaye mama yake anatoka ni mwanamitindo Binta Diamond.

Post a Comment

 
Top