Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu amefunga mkutano wa Mkuu wa 9 wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) na kuwasihi viongozi waliochaguliwa kuongoza jumuiya kwa maslahi ya Jumuiya hiyo na CCM kwa ujumla. Ambapo mkutano huo ulikuwa ukifanyika mjini Dodoma.












JIUNGE NA BONGO5.COM SASAU

Post a Comment

 
Top