Hizi ni baadhi ya picha za matukio mbalimbali yaliyotokea katika mkutano Mkuu wa 9 wa CCM uliokuwa ukiendelea mjini Dodoma,Ambapo kulikuwa na mchakato wa kumchagua Mwenyekiti wa chama hicho. Mkutano huo unatarajiwa kuisha tarehe 19 Disemba mwaka huu.









J
J






Post a Comment