Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 
Msanii Abdukiba kutoka ‘Label’ ya ‘Kings Music’ amekanusha maneno ya watu kuwa bosi wa ‘Label’ hiyo Alikiba ambaye pia ni kaka yake alikuwa akimzuia kwenye muziki. 

Abdukiba amefunguka hayo akifanya mahojiano ambapo amesema kuwa Alikiba alikuwa akimtengenezea njia nzuri ya kuja kufanya mziki mzuri na ni mtu ambaye anatakiwa kusikilizwa kwenye game.
Mkali huyo ameongeza kuwa Alikiba alimuambia apumzike kidogo asiachia nyimbo ili akirudi aachie nyimbo nzuri na mashabiki wake watampokea kwa mikono miwili lakini pia watakuwa wamemmisi katika game, hivyo hata kama kutakuwa na changamoto yeyote katika mziki wake itakuwa rahisi kupata maoni.
 

Post a Comment

 
Top