RAIS John Magufuli na mkewe, Mama Janeth Magufuli, leo wameungana na waumini wa Kanisa Kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma kusali ibada ya Jumapili

Rais Magufuli akisalimia na waumini baada ya ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu la Matakatifu Paulo wa Msalaba la Jimbo Kuu la Katoliki la Dodoma leo.

…Akiwa na mkewe (wa pili na tatu kulia).

Mkuu wa Majeshi, Jenerali Venance Mabeyo (shati jeupe kushoto) akiwa na waumini wengine.

Magufuli na mkewe wakiwa na waumini wengine.

…Akisalimia waumini kanisani.

…Akiagana na mapadri, viongozi na wananchi wengine baada ya ibada.

S

Post a Comment