Rais Dkt. John Magufuli amemtaka Kamishna wa Maadili, Jaji Mstaafu,
Harold Nsekela kutopokea fomu ya kiongozi yeyote ambaye atakuwa
hajawasilisha tamko lake la mali na madeni ifikapo Disemba 31 mwaka huu
ambapo ndio mwisho wa kufanya hivyo.
Rais Dkt. Magufuli ametoa kauli hiyo wakati akiwasilisha fomu yake ya tamko la rasilimali na madeni katika Ofisi ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma.
Taarifa kamili.
Post a Comment