Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Msanii Zuwena Mohamed ‘Shilole’ (katikati) akiwa na mpenzi wake waliyefunga naye ndoa, Ashraf Uchebe (kushoto) katika picha ya pamoja baada ya ndoa hiyo jijini Dar es Salaam.

BAADA ya hivi karibuni kufunga ndoa na Ashraf Uchebe, msanii wa muziki, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefungukia tetesi za kuwa amemchukua mume wa mtu na kusema siyo za kweli.

Akipiga stori na Risasi Vibes, Shilole alisema mumewe hana mwanamke mwingine na hajawahi kuoa bali yeye ndiye mkewe halali hivyo wanaosema kwamba ana mke ni waongo, anachomshukuru Mungu ni kwamba anafurahia ndoa yake na mambo yanaenda vizuri.

Post a Comment

 
Top