Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuwajulisha wanachama wa CCM na Umma wa watanzania kuwa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefanya uteuzi wa kuwapitisha wana CCM ambao wataomba ridhaa ya Mwenyekiti wa CCM, Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Bara na Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar



S

Post a Comment

 
Top