Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Msanii wa Bongofleva Dogo Janja amepost picha akiwa na mkewe Irene Uwoya katika ukurasa wake wa Instagram na kumsifia mkewe kwa kuandika Caption ambayo mwihsoni kamalizia na hashtag za kumsifia na kukataa mazoea kwa mkewe.

Dogo Janja ameandika hivi.“Ni bora umwage damu mbele ya adui yako kuliko kumwaga chozi… #MyBeautifulWife AtadondokaMtu#MazoeaNaMkeWangu” – Dogo Janja
Pamoja na Dogo Janja kupost na kuandika hivyo mkewe Irene Uwoya na yeye al-comment chini kwa kuandika.“Unamkwara baba….ila usiue Utaenda Jela” – Irene Uwoya

Post a Comment

 
Top