Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Bond Aliyekuwa Mpenzi wa Wastara zamani Achukizwa na Kauli ya Wastara ya Kutopenda Wanaume Weupe...Hili limekuja Baada ya Wastara Kuhojiwa na Kutaja Vigezo vya Mwanaume Anayependa Amuoe...Amtolea Mbovu Mbovu Kupitia Ukurasa wake wa Instagram:


Bond Ameandika 

"Sinema ya kutisha nipale mtu anasema hapendi weupe halafu we umemukula miaka 4. Hukuwa na geto na umeishi nae miaka 4. Hapo lazima steringi awe geabox... Kudadeki wasukuma sisi hahaha , Heloo mazaaa... Bhawelage chizaaa koiii..."

Post a Comment

 
Top