Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Breaking News: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam  Chamsimamisha Masomo Abdul Nondo
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa William Anangisye, amemsimamisha masomo Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP), Abdul Nondo hadi kesi yake ya kutoa taarifa za uongo mitandaoni na kudanganya kutekwa itakapomalizika.

Nondo alipewa dhamana na mahakama ya Iringa, jana Jumatatu,Machi 2018 baada ya kusota rumande kwa wiki kadhaa

Post a Comment

 
Top