Msanii wa Hip Hop anayewakilisha Jiji la Mwanza, Edu Boy amefunguka na kujisifu kuwa amempokonya Nay wa Mitego anayedaiwa kwamba ni mpenzi wake Nini kutokana na kushindwa kumridhisha katika masuala mbalimbali.
Edu Boy amebainisha hayo "Ujue mimi ni mtoto wa kisukuma nakula vizuri, kwa hiyo najua namna ya kumridhisha mwanamke pindi tunapokuwa katika tendo kwa sababu tunanguvu za kutosha. Kumpora mtu mpenzi wake ni jambo la kawaida",amesema Edu Boy.

Post a Comment