Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, Mhe Freeman Mbowe leo akiwa katika ibada ya Jumapili ya Matawi KKKT Azania Front Posta ya zamani Dar es salaam.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Waziri Mkuu Mstaafu,Mhe Edward Lowasssa, leo akiwa katika ibada ya Jumapili ya Matawi KKKT Azania Front Posta ya zamani Dar es salaam.
Wakitoka nje ya kanisa.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, Mhe Freeman Mbowe na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe Edward Lowasssa, leo Wameshiriki ibada ya Jumapili ya Matawi KKKT Azania Front Posta ya zamani Dar es salaam.

Post a Comment

 
Top