Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikabidhiwa shada la maua kwenye kaburi la Marehemu Dkt. Omar Ali Juma lililopo Wawi,Pemba.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu Dkt. Omar Ali Juma lililopo Wawi,Pemba. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)Dk Omar Ali Juma (26 Juni 1941 – 4 Julai 2001) alikuwa Makamu wa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tatu nchini Tanzania, iliyokuwa inaongozwa na Rais Benjamin William Mkapa






Post a Comment