Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mastaa wengi duniani wanasherekea siku zao za kuzaliwa akiwemo mwanamitindo maarufu nchini Jokate Mwegelo ambaye kupitia ukurasa wake wa instagram ameweka wazi maneno ambayo yamewaacha wengi na maswali.
Ukiachilia mbali post ambayo Jokate ameipost kupitia account yake ya instagram kuhusu siku yake ya kuzaliwa ameacha maswali mengi kwa mashabiki baada ya kupost picha nyingine na kuandika caption ambayo inaeleza wazi kuwa atakuwa mama hivi karibuni na anatarajia kuolewa.
Jokate ameandika “Mtoto wa March , malkia wa March, hivi karibuni nitakuwa mke wa mtu na mama pia, Mungu ni mwema na mwaminifu, nimekuwa ila daima nitabaki kuwa binti mdogo. Ni kwa Neema tu na Rehema

Post a Comment

 
Top