MBUNGE wa Nanyamba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdalah Chikota pamoja na waandishi wa habari watatu wa vyombo vya ITV amabe ni Modestus Mwambe, Clouds Media na Mwananchi, wamepata ajali leo Kijiji cha Navikole mkoani Mtwara.
Ajali hiyo imetokea baada ya gari lao kupinduka kama picha zainavyoonyesha ambapo hata hivyo hakuna majeruhi wala vifo. Baada ya kutoka wazima wamepata gari lingine na sasa wanarejea Mtwara Mjini,












Post a Comment