Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Leo March 18, 2018 Taarifa tuliyoipokea ni kuhusu Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro akisumbuliwa na homa kali.

Mavunde amesema alipelekwa hospitalini hapo usiku wa kuamkia Jumapili baada ya kujisikia vibaya na saivi anaendelea kupatiwa matibabu.

Post a Comment

 
Top