Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing Corporation - NHC) Bi. Blandina Nyoni kuanzia leo tarehe 21 Machi, 2018.
Pia Mhe. Rais Magufuli ameivunja Bodi ya hiyo. Uteuzi wa Mwenyekiti na bodi nyingine utafanyika baadaye.  
 


Post a Comment

 
Top