Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 Ratiba ya hatua ya mechi za nusu fainali kombe la FA imetoka usiku ya kuamki leo.
Mechi inayosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa mchezo huo ni kati ya Manchester United ambao wamepangwa kucheza na Tottenham Hotspur.

Wakati huo huo Chelsea wao wamepangiwa kucheza na Southampton.
Mechi hizozinatarajiwa kuchezwa April 21 na 22 ya mwaka huu, na mechi ya fainali itachezwa Jumamosi ya Mei 19 katika uwanja wa Wembley.

Post a Comment

 
Top