Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kinywaji kipya cha mvinyo kilichopewa jina la IMAGE ambacho kitakuwa kikitolewa katika ndege za ATCL zinazomilikiwa na serikali ya Tanzania ambapo amewataka Watanzania kuweka uzalendo wa kunywa kinywaji cha mvinyo inachozalishwa nchini kutokana na zao la zabibu huku akieleza namna matumizi ya kinywaji hicho kinavyoweza kumkinga mtu na baadhi ya magonjwa mwilini.

Ninafurahi namna AirTanzania mlivyoamua kuja na mtazamo mpya wa kuitangaza bidhaa ya watanzania, kitendo cha kuamua huu mvinyo kunyweka ndani ya ndege ni imani yangu kubwa hatua hii itawashawishi watu wengi kupendelea kunywa mvinyo huu” –Waziri Mwijage
Tunaambiwa kwamba mvinyo ni chakula kinachotibu na kuna mtaalamu alishasema usipokula chakula cha lishe basi utakuja kula dawa kama chakula” –Waziri Mwijage

Post a Comment

 
Top