Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda aliwataka wanawake wote waliotelekezwa na wanaume zao pamoja na watoto wao wafike ofisini kwake ili wapate msaada wa kupata haki za kisheria.

Staa wa muziki wa Bongo Fleva Shetta ameonekana kutoa malalamiko yake ya kutelekezwa na Kamanda Kova baada ya picha yake na Kamanda Kova kusambaa katika mitandao ya kijamii na wengi kusema kuwa wamefanana na kuwa Kamanda Kovahuenda akawa ndio baba mzazi wa Shetta.
Mh. Mkuu wangu wa Mkoa RC @paulmakonda nipo hapa ofisini kwako Lol #KutelekezwaVipii!? Nikitoka Ilala Boma kwenye malalamiko, Jumamosi hii tarehe 14/04/2018 nitakua Tanga City Lounge tukutane Tanga  tena nafikiri na baba yangu atakua kashanikubali,basi tutakua tunaparty tu mwanzo mwisho #TANGA  Cc @paulmakondaOngea na Mshua Tuyamalize ”

Post a Comment

 
Top