Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This



Marriane Mdee ‘Mimi Mars’,
MWANADADA kiwango kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Marriane Mdee ‘Mimi Mars’, amefunguka kuwa miongoni mwa vitu anavyopenda kwenye muziki ni kufanya kazi kwa kushirikiana na wanamuziki wengine kwani ushirikiano ni kitu kizuri.


Mimi ambaye hivi karibuni amepiga kolabo na Frankie Maston na Yeyo Leslie, wa ngoma iitwayo Mi Nawe, amesema kushirikiana kwenye muziki ni kitu kizuri na ikitokea akihitajika na mtu.

Post a Comment

 
Top