Menu

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 Image result for Huddah Monroe

MWANADADA mwenye jina kubwa kwenye mitandao ya kijamii, Hudah Monroe, ameweka wazi kwamba yupo kwenye uhusiano na mwanamume wa Kiarabu na anampenda sana.


Hudah aliweka wazi suala hilo baada ya kuandika kwenye Mtandao wa Kijamii wa Instagram, kwamba angekuwa nje ya soko kama asingepata mpenzi na kurudi kwenye uhusiano. 


“Ninashukuru nimepata mpenzi, ambaye tunapendana. Ni Mwarabu na kiukweli ningekuwa nje ya soko kama ningeendelea kuwa mpweke!” Alisema Huddah pia alipofanya mahojiano na mtandao mmoja wa habari za burudani Kenya.

Post a Comment

 
Top